February 16, 2021

6 COMMENTS:

  1. Vigogo wetu Yanga wanakutana GHAFLA tena usiku. Vipi kwema huko mbona mnatupa waiwasi

    ReplyDelete
  2. Kwa nini boss GSM aongoze kikao wakati katiba inamtambua mwenyekiti ndio kiongozi wa kikao? Tatizo linaanzia hapo! Haa huu usajili tunaoona una mashaka umefanywa na GSM bila kuushirikisha uongozi, kila mara tunaona GSM mara wapo DRC, mara Zambia, mara Rwanda, mara Angola, wanafuata wachezaji. Ni nani amewapa ninyi GSM mamlaka ya kuiongoza Yanga? Mnaona sasa aina ya wachezaji mliotuletea? Yaani kila mara tunatamani liwepo dirisha la usajili tuwaache walioletwa na GSM, ni hakuna kitu kabisa. Hii timu ni ya wanachama na ina uongozi uliochaguliwa na wanachama. GSM ni muwekezaji tu na mipaka yake inaishia kwenye mauzo ya jezi. Kama ana nia njema ya kuiinua Yanga basi atoe msaada kwa uongozi halali ili wao ndio waamue kuelekeza fedha mahali panapostahili, lakini sio sawa kabisa GSM kujitwalia mamlaka yaliyo nje na mkataba wa uwekezaji wake, inawafanya viongozi washindwe kutekeleza mipango yao maana wakati mwingine inakuwa inagongana na mipango au malengo ya GSM. Tafadhali GSM, usijipe mamlaka ya kuitisha na kuongoza vikao, subiri ualikwe kwenye kikao kilichoitishwa na uongozi halali uliowekwa na wanachama

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna ambalo GSM wanalifanya nje ya maelekezo ya viongozi.....by the way umeshawahi kusikia viongozi wanalalamika kuwa wanaingiliwa mamlaka yao ya uongozi au ni kelele za sisi tu washabiki ambao hata tukiambiwa kila shabiki achangie elfu tano kwa ajili ya timu wengi wetu hatutachanga!!!!!.Yanga ya sasa imetulia,hakuna migogoro,yote hii ni kutokana na mchango mkubwa wa GSM....GSM wakiamua kuachana na yanga nani anaweza kuifanya yanga ikatulia.Kuna watu waliwahi kupiga kelele Manji aondoke kwasababu zao binafsi wakiwaaminisha mashabaki na wanachama kuwa wafadhiri wa kuiongoza yanga wapo wengi tu watapatikana,lakini manji alipoondoka kilichotokea wote mnakijua......Leo tena mmeanza kelele kuhusu GSM....kama mmetumwa waambieni hao wanaowatuma kuwa safari hii wamechemsha.....Timu inaongoza ligi na mpaka sasa haijafungwa hata mechi moja sasa kelele za nini nyie mashabiki maandazi!!!!!

      Delete
  3. Kutokana na hayo yote inaonesha hao mastaa wote wa mabilioni si kitu chochote isipokuwa ni magarasa tu, lakini kwa upande mwengi, Kocha na mashabiki walikuwa wakiwavulia kofia mastaa hao na huku hao mastaa wenyewe wakihakikisha kuwa wao kazi yao ni kutia magoli tu kwahivo uongozi ukae kitako kumtafuta mchawi wa kweli kabla ya kuwa too late

    ReplyDelete
  4. Nyinyi yanga hamna shukurani mnafanyiwa mema ila hamna shukurani ningekuwa mm gsm ningewachia hiyo timu yenu

    ReplyDelete
  5. Anaejua mpira hawezi kulalamika kwa team kutoka sare, ukiona mtu anawashutumu GSM ujue mamluki anataka kuwavuruga Yanga, hata hao Simba siku wakipata matokeo mabaya mazuri yote yanasahaulika, kikubwa kuwa na subra kuelekea matokeo chanya, hakuna Cha ajabu kwenye soka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic