LEO Februari 27 Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kengold ya Mbeya ambayo nayo pia inahitaji ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
Hiki hapa kikosi rasmi cha Yanga kitakachoanza kusaka tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora kwa kuwa leo ni hatua ya 32 bora:-
Faroukh Shikalo
Paul Godfrey
Yassin Mustapha
Juma Makapu
Bakari Mwamnyeto
Farid Mussa
Zawadi Mauya
Feisal Salum
Fiston
Deus Kaseke
Ditram Nchimbi
Hawa ni wa akiba
Metacha
Adeyum
Lamine
Niyonzima
Carlos
Sarpong
Yacouba Songne
Kengold piga hao kenge mbili bila ili wasusie kabisa kucheza mpira ibaki kenge princess
ReplyDeleteMmmmh, yaani wewe si bure, hivi utakuwa umekosa kazi ya kufanya
DeleteKila la kheri kwenu
ReplyDeleteViroba vinammaliza lazima uite Watu kenge?
ReplyDeleteKweli kabisa maana hajitambui na huenda analala sebuleni kwa dada yake huyo
ReplyDeleteKazeni buti watani zangu ili fainali inoge
ReplyDeleteKazeni buti watani zangu ili tufike wote fainali inoge
ReplyDelete