February 23, 2021


 KLABU ya Al Ahly ya Misri baada ya kupoteza mchezo wa leo  Februari 23 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba Uwanja wa Mkapa wameanza safari ya Kurejea Misri.


Simba imeshinda bao dakika ya 30 kupitia kwa Luis Miquissone ambalo lilidumu mpaka dakika ya 90, Uwanja wa Mkapa.

Hivyo baada ya kuyeyusha pointi tatu mbele ya Simba ambao ni vinara katika kundi A wameamua kurejea nchini Misri kwa ajili ya mipango mingine. 

Kocha wa Al Ahly, Waarabu wa Misri, Pitso Mosimane amesema kuwa anaamini vijana wake kuna kitu wamejifunza na wataendelea kupambana kufikia malengo yao.


Simba inakuwa imeshinda mechi mbili mfululizo kwenye mchezo za Ligi ya Mabingwa Afrika,  mchezo wa Kwanza walishinda ugenini bao 1-0 dhidi ya AS Vita  na leo bao 1-0 dhidi ya Al Ahly. 

7 COMMENTS:

  1. KILANGA KIMEWAHISHA KOMO! WALIPOONA YALE MATANGAZO KWAMBA HAPA NI TOTAL WAR, POINT OF NO RETURN WALIDHANI UTANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. When you see one Bird is flying don't be deceived its a Summer MIKIA MAPAKA FC NYIE

      Delete
    2. Subirini sare mfarakane chura fc

      Delete
    3. Manyani a.k.a vyura na utahira wenu wa kuvuta sigara Kali chooni.

      Delete
  2. Warudi wakajipange mechi na AS Vita. Sisi tunawaombea draw tuu hiyo mechi.

    ReplyDelete
  3. Vipi,nasikia wameondoka na Kindoki na Mbatha wa Utopolo!!?

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha ha ha life goes on, utani raha sana, naona Leo mtani anapata shida sana tu narudi ligi kuu sasa wajipange na watafute neno lakuongea nakujitetea kabla mnyama hajaanza kugawa dozi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic