March 1, 2021

15 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Kikosi kipana kina zake kwa kocha.Gomes kabaini kuna wachezaji simba wanauwezo mkubwa wakicheza nafasi tofauti na atafanikiwa sana

      Delete
  2. Hatuna kocha hapo ni kama morinyo anayependa kujilinda

    ReplyDelete
  3. Hapo hatuna kocha IPO siku mtanielewa wanamsimbazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo ushindi wa AS Vita na Al Ahly hausiki?

      Delete
    2. Huyo siyo Mnyama ni utopolo achana nae

      Delete
  4. Kocha hajilindi isipokuwa Simba hatuna beki ya Kati ya kueleweka ndo maana tunalazimika kutumia kiungo mwenye nguvu kijana.

    ReplyDelete
  5. hahahahahahahahahaaaa gomes bhana

    ReplyDelete
  6. Kwahiyo leo hii mnasema hamna kocha,,,tena hakuna believe,,,duuu gomes anaangalia na mechi ijayo ya el merreck,,,wakiumia je tena mnaanza kulia mkifungwa

    ReplyDelete
  7. Anayelalamika ni Utopolo. Hakuna mwanasimba anayeweza kulalamika wakati huu.Mpira unaonekana. Magoli yanafungwa na clean sheet za maana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic