March 19, 2021

WINGA wa klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morroco, Saimon Msuva amesema kuwa anatamani kukutana  na klabu ya Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwani anaamini itakuwa mechi nzuri sana katika msimu huu wa ligi hiyo.

Saimon Msuva katika msimu huu wa ligi hiyo akiwa na klabu ya Wydad Casablanca ya Morroco amefanikiwa kuifungia timu hiyo mabao miwili katika michezo minne aliyocheza mpaka sasa.

Akizungumzia michuano hiyo Msuva amesema: “Natamani kuona tunakutana na Simba katika hatua ya robo fainali kwani utakuwa mchezo mzuri sana katika ligi ya mabingwa msimu huu kwani itazikutanisha timu bora ambazo zote zinafanya vizuri kwa sasa.



8 COMMENTS:

  1. Wydad mikia hamwezi labda paka wote muwaachie uwanjan

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wydad na Al Ahly nani mkali? Ukijibu sahihi utajua kuwa Simba ndo baba lao Ila UTOPOLO wivu unawasumbua

      Delete
  2. Waydad noma kichapo cmba kinawahus2

    ReplyDelete
  3. Subiri muda utaongea, hakimu wa kweli ni muda tu, hata wenzenu walisema hivyo hatimae simba anaongoza kundi na bado anaendelea kuchanja mbuga.

    ReplyDelete
  4. Kama anamtamani Mnyama, atamuona lakini akimuuma asilalamike

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic