Yaani hawa viumbe bila ya kuwatolea uvivu na kuwaeleza ukweli kuhusu habari zao za kutunga hawataacha kuwapotosha mashabiki wa Yanga. Ifike mahali pia mashabiki wa Yanga wajitambue na waache kulinunua au kuamini habari za hawa watu maana wamekuwa ni chanzo kikubwa cha kuwalisha ujinga na kusabaiish mihemko
wameshasahau zile habari za Kaze kuja na faili la simba sasa sijui faili limepotelea wapi ifikie wakati waandishi wa michezo wafatiliwe kwani ndio wanaongoza kuandika habari za uzushi
Kama kawaida yenu mliandika hivi hivi kwa kaze
ReplyDeleteYaani hawa viumbe bila ya kuwatolea uvivu na kuwaeleza ukweli kuhusu habari zao za kutunga hawataacha kuwapotosha mashabiki wa Yanga.
ReplyDeleteIfike mahali pia mashabiki wa Yanga wajitambue na waache kulinunua au kuamini habari za hawa watu maana wamekuwa ni chanzo kikubwa cha kuwalisha ujinga na kusabaiish mihemko
Wanwalishaga mataputapu na habari zao
ReplyDeletewameshasahau zile habari za Kaze kuja na faili la simba sasa sijui faili limepotelea wapi ifikie wakati waandishi wa michezo wafatiliwe kwani ndio wanaongoza kuandika habari za uzushi
Delete