March 24, 2021


 MATHIAS Kigonya kipa namba moja wa Azam FC pamoja na beki wa kulia Nicholas Wadada wapo ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ,' The Crane'.

Leo Jumatano Machi 24 wana kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Burkina Faso mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika, ( Afcon).


Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Uganda.

Uganda kwenye hatua za makundi ipo kundi B ikiwa inashika nafasi ya pili baada ya kucheza echi nne imekusanya pointi 7.

Kinara wa kundi hilo ni Burkina Faso mwenye pointi 8 kibindoni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic