April 28, 2021


 MTAMBO wa mabao ndani ya Simba ambaye pia ni nahodha, John Bocco naye ameongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Bocco ambaye ni mzawa wa kwanza kufunga mabao zaidi ya 100 ndani ya Ligi Kuu Bara mkataba wake ulikuwa unafika ukingoni msimu wa 2020/21 utakapomeguka.

Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi kuongeza mkataba ndani ya Simba baada ya nahodha msaidizi Mohamed Hussein kuongeza dili lake.

Kwenye Ligi Kuu Bara, msimu huu Bocco ametupia mabao 10 na ana pasi mbili za mabao.

1 COMMENTS:

  1. Wale wanoowataka nyota wa Simba wa wangojee wale wataotemwa watawapata kwa bei chee kutokana na mfuko wako laki wale mastaa tuwi la kwanza wasahau

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic