April 6, 2021

 


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Aprili 6 kinakwea pipa kuwafuata wapinzani wao Al Ahly kupitia Dubai.

Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni wa 6 kwa timu zote mbili ambazo zimetinga hatua ya robo fainali baada ya kupenya kutoka hatua ya makundi ambayo wapo kwa sasa.

Simba ni vinara kwenye kundi A wakiwa na pointi 13 huku Al Ahly ikiwa namba mbili na ina pointi 8, mchezo wao unatarajiwa kuchezwa Aprili 9.

Hawa hapa wachezaji watakaosepa kuwafuata Waarabu wa Misri:-

Aishi Manula. 

Kened Juma.

 Ally Salim.

Chris Mugalu.

Francis Kahata.

Luis Miquissone.

Shomari Kapombe.

Joash Onyango.

Meddie Kagere.

 Rarry Bwalya.

Taddeo Lwanga.

Erasto Nyoni.

Bernard Morrison.

Hassan Dilunga.

 Said Ndemla.

Pascal Wawa.

 Beno Kakolanya.

Peter Mudhuwa.

David Kameta.

Ibrahim Ajibu.

Clatous Chama. 

Mohamed Hussein. 

Gadiel Michael. 

5 COMMENTS:

  1. Mbona walisema Morison atakosa mechi ijayo?

    ReplyDelete
  2. Redio mbao. Kadi ni 3 ndio unakosa mechi.Usihadaiwe na makanjanja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzamiru amekwenda mbona kwenye list hayupo. Mwandishi huyu bhana

      Delete
  3. Mwandishi andika taarifa sahihi. Tembelea simba sc website kwa usahihi wa wachezaji 26 walioondoka

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic