CLEOPHANCE Mkandala, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata amesema kuwa walikuwa wanahitaji kupata pointi tatu ila walikwama kutokana na kuzidiwa mbinu.
Amebainisha kwamba kuifunga Simba kwenye mechi mbili walipokutana Uwanja wa Jamhuri wakati ubao ukisoma Dodoma Jiji 1-2 Simba na jana ubao kusoma Simba 3-1 Dodoma Jiji kwa Mkapa kwake ni furaha.
0 COMMENTS:
Post a Comment