VIDEO: MTIBWA SUGAR TULIWAFUNGA YANGA MPAKA WAKACHANGANYIKWA, TULIFANYA MAKUBWA
OFISA Habari wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa neno Sukari alishauri liongezwe ili iwe Mtibwa Sugar kwa kuwa awali ilikuwa inaitwa Mtibwa pia amesema kuwa waliwahi kuifunga Klabu ya Yanga mpaka wakachaganyikwa
0 COMMENTS:
Post a Comment