VIDEO: YANGA:BADO TUNA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
LICHA ya kikosi cha Yanga kugawana pointi mojamoja mbele ya KMC jana Aprili 10 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara bado mashabiki wanaamini kwamba wananafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara
Ni kweli nafasi mnayo kama ilivuo kwa timu nyingine Ila uwezo hamna
ReplyDeleteSafari hii hatukubali maonevo na tutafika kote kuutetea haki yetu ya ushindi
ReplyDelete