April 27, 2021

 


RAIS wa Shirikisho la Soka Ulaya, (Uefa), Aleksander Ceferin amethibitisha kuwa klabu 12 ambazo zilihusika kwenye mchakato wa European Super League zinatarajiwa kuadhibibiwa.

Klabu ambazo zilihusika katika mchakato huo ni pamoja na Manchester United, Manchester City, Arsenal, Liverpool, Chelsea, Tottenham, AC Milan, Inter Milan, Barcelona, Real Madrid, Atletico Madric na Juventus.

Rais huyo amesema kuwa ambao walihusika kwenye mchakato huo watapewa adhabu kulingana na makosa hayo  huku Juventus, Barca, Real Madrid huenda wakapata adhabu kubwa zaidi ya kutoshiriki UEFA msimo ujao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic