May 2, 2021


JOASH Onyango, beki kisiki wa Simba amesema kuwa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar walikuwa chini ila kipindi cha pili waliweza kujipanga jambo lililofanya wapate matokeo. Kuhusu Kaizer Chief amesema bado kuna mechi za kucheza, amwewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi Mei 8 watakapomenyana na Yanga.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic