May 2, 2021

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa walimuahidi mwalimu wao, (Francis Baraza) ushindi ili kumfariji ila walikwama kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.

 Nyota huyo amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya wakapoteza ni kufanya makosa kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Pia ameeleza kuwa anaweza kuondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa atapata ofa.

 

3 COMMENTS:

  1. Unakaribishwa kwa mikono miwili kulikonona kusiko na ubabaishaji na kudhamini maisha yako kulikojaa mapenzi na kutambulika kuwepo kwako kwaajili ya mustakbali wako, kukuzwa uwezo wako kama ilivo kwa kina Shababala, Manula, Kapombe, Chama. Konde Boy na wengi wenginei

    ReplyDelete
  2. AJE SIMBA TU AONGEZE IDADI YA ASKARI WA KUTETEA MATAJI

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa Simba ndo mahli pekee panapomfaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic