May 1, 2021


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo kimeanza safari ya kurudi Dar kikitokea Mbeya.

Yanga jana Aprili ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Tanzania Prisons, Songea na ilishinda kwa bao 1-0 lilifungwa na Yacouba Songne.

Ushindi huo ulionekana kulalamikiwa na Tanzania Prisons kupitia kwa wachezaji ambao walikuwa wakionekana muda mwingi kulalamika kwamba wameonewa na mwamuzi wa kati.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kikosi kinatarajiwa kuwasili Dar leo kikitokea Mbeya.

"Kikosi kinatarajiwa kuwasili Dar leo kikitokea Mbeya ambapo kilikuwa baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Tanzania Prisons,".  

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic