May 3, 2021


BAADA ya timu kusaka ushindi kwenye mechi zao za Kombe la Shirikisho ni timu nane zimepanya hatua ya robo fainali.

 Hizi hapa timu ambazo zimetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kushinda katika hatua ya 16 bora.

Rhino Rangers ya Tabora inashiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Biashara United ya Mara inashiriki Ligi Kuu Bara.

Azam FC ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara.

Mwadui FC ya Shinyanga inashiriki Ligi Kuu Bara.

Yanga ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara.

Dodoma Jiji ya Dodoma inashiriki Ligi Kuu Bara.

Simba ya Dar inashiriki Ligi Kuu Bara na ni mabingwa watetezi.

Namungo FC ya Lindi inashiriki Ligi Kuu Bara.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic