STRAIKA wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amewaonya Yanga kuwa wasiingize timu uwanjani kwani watakumbana na kipigo cha aibu.
Mgosi alisema ukiwatazama Yanga hawana uwezo hata robo wa kuweza kuwafunga Simba na badala yake watakwenda kukutana na kipigo cha aibu na ili kuliepuka hilo ni vema wakabaki kambini tu na Simba wachukue pointi za mezani.
Akizungumza na Championi Jumamosi, Mgosi alisema Yanga ni kama wanajisumbua kutaka kushindana na Simba kwa sasa kwa sababu hawana wachezaji bora na wanatakiwa wakae kwa miaka mitano ndiyo kidogo wanaweza wakapata timu ya kuweza kushindana na Simba.
“Mimi nawaambia Yanga kama itawapendeza wasipeleke timu uwanjani, kwa sababu kitakachokwenda kuwakuta ni aibu kwao, sasa ili waepuke hiyo aibu wabaki tu Kigamboni (walikoweka kambi) na Simba wachukue pointi tatu kwa sababu timu hawana, labda baada ya miaka mitano mbele huko,” alisema.
Ngoja aibu itakukuta wewe
ReplyDeleteHuyu akili zake kama mbwa jitu linaongea kama halijacheza mpira vile
DeleteNdiyo maana ni Kocha wa Wanawake,amezoea kutawaliwa Mafi yake
ReplyDeleteWewe komaa na mademu zako ndo, maana uliwekwa zigo la wajinga huna mbele wara, nyuma ukijiuliza ni mara ya kwanza kukutana simba na yanga jiulize unataka kuzeeka bira hakili umezoea kuwa kwenye kundi la wanawake ni sawa na kuwa kwenye group la kondoo ushakua na hakir. mama
ReplyDeleteUlichokisema kimetimia salute kwako Mgosi mechi ya Yanga na biashara muda ulibadilishwa masaa mawili kabla ya mechi na Yanga waliocheza Sasa sijui hapo TFF kwa kifupi ndugu zetu walijua watakutana na kipigo Cha aibu ndio Mana Hadi washabiki walimbia uwanjani
ReplyDeleteHana akiba ya maneno sio kocha kumbuka kazi siyo simba tu unaweza ukatimuliwa hapo tena ukawa umejifungia mafanikio yako mwenyew
ReplyDelete