VIDEO:BREAKING: SERIKALI YAZUNGUMZIA KUHUSU SIMBA V YANGA WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezungumza kuhusu mechi ya Simba v Yanga, Mei 8 kuahirishwa.
Soka letu ni kichefuchefu sana,watu wanafanya mambo kwa kufuata hisia zao na si kanuni za soka zinavyotaka.
ReplyDelete