FT: JKT Tanzania 0-2 Yanga
UWANJA wa Jamhuri, Dodoma
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 86 Kisinda anatoka anaingia Wazir Junior
Dakika ya 82 anachezewa faulo Kisinda
Dakika ya 81, Zawad Mauya anaingia dk 82 anatoka Nchimbi
Dakika ya 65 Nchimbi anachezewa faulo
Dakika 65 Ntibanzokiza anatoka anaingia Kaseke
Dakika ya 60 Jabir Aziz anafanya jaribio nje ya 18
Dakika ya 58 Kibwana anaotea
Dakika ya 52 Fei Toto off target
Dakika ya 51 JKT Tanzania wanapiga kona haileti matunda
Dakika ya 50 Saido anapiga kona
Dakika ya 49 Mnata save
Dakika ya 45 Metacha Mnata anaanzisha mashambulizi
HT: JKT Tanzania 0-2 Yanga
JKT Tanzania 0-0 Yanga
Zimeongezwa dk 2
Dakika ya 45 Jabir Aziz anapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 40 Maicon anatoa mpira
Dakika ya 38 Mgandila Shaban anaweka kigingi kwa Yacouba
Dakika ya 30 Gooooal Kisinda
Dakika ya 28 Edward Songo anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 26 Yacouba Gooooool
Dakika ya 23 Said Ntibanzokiza anapiga faulo ya pili haileti matunda
Dakika ya 18 Nchimbi anafanya jaribio inagonga mwamba
Dakika ya 17 Yacouba Songne anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 15 Said Ntibanzokiza anapiga faulo haileti matunda
Dakika ya 12, Lyanga anafanya jaribio la Kwanza Mnata anaokoa inakuwa kona
Dakika ya 8 Kigi Makasi anachezewa faulo
Dakika ya 7 Lyanga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 5 Yacouba anaotea
Dakika ya 4 Mwamnyeto anaanua majalo
Dakika ya 3 Yacouba Songne anachezewa faulo
Dakika ya 2 JKT Tanzania wanapiga kona ya kwanza








Game ziendeleee
ReplyDeleteWakiwashindwa na hao itabidi tuwafanyie maombi tu ndo iliyobaki😂😂😂
ReplyDeleteKuna mtu anataka kurudisha pesa yake na faida,lazima apenyeze dhidi ya washindani
ReplyDeleteSasa tayari ubingwa wetu baada ya miaka mitatu ya ukame
ReplyDeleteHahaaaaa bado sana
Delete*back2back* 10 ikamilike