BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Edward Manyama ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Ruvu Shooting sasa ni mali ya Azam FC.
Beki huyo awali alikuwa anatajwa kumalizana na Simba kwa dili la miaka miwili sasa Azam FC wamepindua meza na kumpa dili la miaka mitatu.
Huu unakuwa ni usajili mkubwa wa kwanza kwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kwa mchezaji mpya mbali na wale ambao wameongezewa kandarasi zao ikiwa ni pamoja na David Bryson.
Siyo kwel
ReplyDeleteMwandishi hauko proffessional, huyo ni beki wa simba ni wapi simba walitangaza rasmi kunsanili? Ni ninyi ndio mlianzisha hiyo topic na ninyi ndio mnaleta tena hanari nyingine
ReplyDeletedaaah huyu mwamba simba wamemkosa
ReplyDeleteShida mikia kumejaa wapigaji...hehe
ReplyDeleteDuu mbona tuliambiwa anaenda simba mmmh magazeti
ReplyDeleteHahaha yule jamaa anajielewa sana, hawezi kusaini mikiani
ReplyDeleteMagezeti hapa bongo munatuznguw sana
ReplyDeleteKesho watasema amesaini utopolo
ReplyDelete