June 11, 2021

8 COMMENTS:

  1. Mambo ni yale yale kila mwaka, mwisho wa siku waanza kulaumu watu wengine. Punguzeni papara

    ReplyDelete
  2. kila mwaka ngebe ni hizohizo sijui wana nini hawa watu hawajifunzi mara mashine mara sijui vifaa mara watu wajae kupokeana mwisho wa siku wanalaumu wengine

    ReplyDelete
  3. Turudishieni kwanza Lokosa magolo wenu

    ReplyDelete
  4. Mrudisheni LOKOSA MAGOLI WETU JAMANI

    ReplyDelete
  5. Yule muangola alipokelewa hivi hivi kandoka na bajaji

    ReplyDelete
  6. Hivi Ilanfya alifunga goli ngapi

    ReplyDelete
  7. Lokosa na ilanfya usajili wao haukuwa na makuzi kama ya utopolo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic