HUKUMU YA JONAS MKUDE YAAHIRISHWA HUKUMU ya nyota wa Simba, Jonas Mkude yaahirishwa mpaka Mkude atakapofanyiwa vipimo Muhimbili, taarifa imeeleza namna hii:-
Majibu yatatoka anavuta bangi.ambayo aliletewa na wabongo wenzake walipokwenda kwa kaizer cheaf.alipogombezwa akasusa timu iliporudi.sasa kamati inakwenda kufukua ushahidi ili afukukuzwe.natabiri tu.
ReplyDeleteHii background ya barua (Red color) wanapaswa kubadilia, inaumiza macho, vinginevyo watasoma viongozi pekeyake.
ReplyDeleteSana2
ReplyDeleteNimeshindwa kuisoma, aliyeisoma anisaidie wanataka kumpima nini, akili au maradhi yapi
ReplyDeleteMhh
ReplyDeleteJAMAA BANGI SASA ANAJIMALIZA KISOKA, IKIWA MPAKA SIMBA WANAMBEBMBELEZA KWA KUMPIMA UNADHANI NANI ANAMHITAJI MWENZAKE? NANI ANAHURUMA KWA MWENZAKE? SIMBA INAMHURUMIA MKUDE.
ReplyDelete