June 18, 2021

14 COMMENTS:

  1. Utopolo kwa fujo ba kulalamika. Sasa mmempiga Saida jiwe kichwani kafanya nini?

    ReplyDelete
  2. Like father like son, hakuna la ajabu kwani mtoto humrisi baba

    ReplyDelete
  3. Tokea lini hata leo iwe ya pili matopolo kuomba radhi.

    ReplyDelete
  4. Hiyo tarehe tatu inayongojewa kwa kubwa nani atayekaa langoni. Metacha kipa namba moja kasimamishwa, Faruku keshajijuwa anatemwa na hata ikiwa yeye atakaa langoni ikowapi morali hapo na kabwili keshatengwa kuwa hafai. Fujo huzaa fujo na chakula chake ni fujo

    ReplyDelete
  5. Matopolo heading towards total uncertainty due to ongoing chaos

    ReplyDelete
  6. Mchezaji anaejitambua hawezi kushindana na washabiki, kama kusimamishwa hata mikia wanasimalisha wachezaji wao, hakua cha ajabu hapo,ndio maana wengine wanaenda mpaka hospital kupima wachezaji wao

    ReplyDelete
    Replies
    1. HIV kati yanga nasimba nan mkia
      Hapo fikir kwanza kabla hujaropoka

      Delete
    2. HIV kati yanga nasimba nan mkia
      Hapo fikir kwanza kabla hujaropoka

      Delete
    3. Kwani simba hana mkia? Au wataka mkia upi

      Delete
  7. Hakuna cha Ajabu, sema kwa wale wasioitakia mema Young Africa wao kila jambo kwao wanalisemea, daima mbele nyuma mwiko

    ReplyDelete
  8. Sasa mjijuwe kuwa mnaanza kuvuna mlichopanda nasi tunakutakieni kila la heru

    ReplyDelete
  9. Yanga ni timu ya ovyo sana, sijui kwa nini tff wanalea hii taka taka. Wanasubiri hadi mtu afe ndio wastuke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie wamanga mikia acheni hizo. Huyo Mkude wenu mbona mnambembeleza kiaina. Mbona mmenyewa kwa msemaji wenu baada ya kuwakashifu waandishi wa habari.

      Delete
  10. mpira wa bongo sasa ni vita na sio burudani tena watu wanaitana taka taka sababu ya ushbiki wa mpira watanzania tujiangalie tunaelekea pabaya ndugu zangu, kwani hata hiyo timu inayofanya vizuri kwa sasa haitofanya vizuri mpaka mwisho wa dunia, vipi kesho hali ikibadilika na kuwa ngumu kwa upande wako na watakaokua wanafanya vizuri wakikuita wewe takataka utajiskiaje

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic