June 6, 2021

 


KIUNGO mkabaji wa Simba, Jomas Mkude amemuaga mshikaji wake Francis Kahata ambaye ameaga rasmi kwa mashabiki na viongozi wake kwa muda ambao alikuwa ndani ya kikosi.


Kahata amekuwa mchezaji wa kwanza kuaga Simba baada ya kandarasi yake ya miaka miwili kumeguka ndani ya kikosi hicho.


Jana nyota huyo aliwaaga mashabiki na wachezaji wenzake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa anakwenda kuanza changamoto mpya.


Mkude amesema kuwa ni wakati mgumu ila lazima ufike kwa kuwa ni hatua ya maisha lakini atamkumbuka  Kahata.

1 COMMENTS:

  1. Safi sana kahata umeonyesha nidhamu ndani na nje ya kikos cha simba,kila la kheri uendako

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic