June 9, 2021

4 COMMENTS:

  1. Hii habari ya kweli au ya kuuzia gazeti? Kwa mtizamo wangu Kadima Kabangu ni mtu na nusu kuliko huyu Makusu. Makusu ni mshambuliaji mzuri lakini ni wale washambuliaji mimi nawaita laini laini hivi hawawapi shughuli ya kutosha mabeki wa timu pinzani. Kadima ni balaa zaidi mbio, nguvu, mashuti, jicho la goli anafunga hata nje ya 18, ana uwezo wa kufunga kwenye "impossible angle" na anafunga pia kwa vichwa. Kama Simba wanaachana na Kagere basi mtu sahihi wa kuchukua nafasi yake ni Kadima Kabangu na sio Makusu. Washambuliaji aina ya Makusu wapo wengi Simba Chama, Bwalya, n.k

    ReplyDelete
    Replies
    1. TATIZO CHAPAA, MDAU, UNAWEZA KUTA ANATAKA APEWE MILIONI 500 KAMA DAU LA USAJILI. NA MSHAHARA MILIONI 30 KULIKO CHAMA. SASA NANI ATAKUBALI HAYO? DC MOTEMA PEMBE MPAKA SASA HAWAJAMPA MKATABA MWINGINE UNADHANI NINI? SIMBA WAACHANE NA KAGERE AS SOON AS POSSIBLE MAANA KILA KITU KIPO WAZI, WAZI KABISA. HATA MAKUSU SIO MBAYA UKIMTENGEZEA KOMBINESHENI NZURI BASI WATU WATACHEKA TU

      Delete
  2. YANGA NENDENI MKADAI POINTS WENZENU WANATAKA KUTAWALA MPIRA

    ReplyDelete
  3. Dau lake la usajili sio kubwa kuishinda Simba kwa sababu ni mchezaji huru sasa hivi. Labda shida itakuwepo iwapo atadai apewe kila mwezi mshahara mkubwa. Lakini iwapo Simba wanataka kupamabana na vigogo wakubwa Afrika ni lazima watoboe mfuko wasajili watu na nusu kama akina Kabangu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic