June 12, 2021

10 COMMENTS:

  1. Hiyo tena imekuwa yanga bingwa wa soka la Africa kwa kila kitu. Kwa kupata kombe la Azam na ufanisi gani mwengine, Hiyo ni kweli au ni kejeli?

    ReplyDelete
  2. kipindi maalum cha mashabiki wa Utoo kunenepaaa
    ligi ikianza lawama zinaanza

    ReplyDelete
  3. Tatizo wao hawana wakuwabeba maana anayejiina yupo juu bila makandokando hashindi mpaka ashikwe mkono

    ReplyDelete
  4. Yanga wanasajili dunia nzima? Hii sasa tamaa ya fisi he he he

    ReplyDelete
  5. Yanga yaibomowa Kaiser Chief ndio mnaisifu au mwaibeza?

    ReplyDelete
  6. Watakwenda mashariku na magharibi lakini siku ys siku Mnyama ndie anayetoka kifuwa mbeke

    ReplyDelete
  7. Tatizo ni waandishi ooh yanga yaibomowa ac vita. Ohh yanga yaibomowa kaizer ooh yanga yaibomoa alahly.. mwisho wa siku inakuwa hakuna lolote. Sijui kwa nini wanatufanyia hivi.

    ReplyDelete
  8. YANGA IMESHIKWA NA WEZI, LAZIMA GSM WATAFUTE MAJINA ILI JEZI ZINUNULIWE UNLESS OTHERWISE NANI ATAVAA HAYO MADERA YALIYOCHANGAMKA? WLIANZA MUKOKO, KISONDA, WAZIRI JR., MWAMNYETO, FISTON, SARPONG, YACOUBA... WOTE ZERO TU. TIMU INAONGOZA MECHI BADALA YA KUONGOZA LIGI KWA POINT NA MAGOLI.

    ReplyDelete
  9. Wataimaliza misitu yote kuwinda kama walivofanya hapo nyuma, lakini Simba ndiyo iliyoila nyama na kuendelea kuila nyama hiyo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic