LEO Juni 16, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kutakuwa na mechi mbili kali zitakazochezwa kwenye viwanja viwili tofauti.
JKT Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Mohamed Abdalah ikiwa ipo nafasi ya 15 na pointi 33 v Ihefu, inayonolewa na Zuber Katwila iliyo nafasi ya 12 na pointi 34, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza ikiwa na pointi 33 nafasi ya 13 v Tanzania Prisons inayonolewa na Salum Mayanga yenye pointi 41 nafasi ya 8, Uwanja wa Kaitaba.
0 COMMENTS:
Post a Comment