NYOTA wa kikosi cha Simba, Clatous Chama baada ya kupata pigo la kuondokewa na ubavu wake wa kushoto hivi karibuni na kukamilisha masuala ya kumpumzisha katika makazi ya milele, amewashukuru mashabiki wote duniani ambao walikuwa pamoja naye katika kipindi kigumu ambacho amekuwa akipitia.
0 COMMENTS:
Post a Comment