June 8, 2021

2 COMMENTS:

  1. Nimemfatilia kwenye league ya DRC ni mchezaji mzuri.Aje asaidiane na Mugalu na Bocco ili simba tuzidi kung'ara kimataifa.Kipenzi chetu Meddie Kagere anaonekana hataki kuongeza mkataba ingawa kiukweli hakuna striker Tanzania anayemfikia kwa uwezo, kwani misimu miwili top scorer na pamoja na kuanzia bench ana magoli 11.Simba tuache kuwafanyia figisu wachezaji wetu waliotuletea heshima.Karibu Kadima, karibu Simba SC.

    ReplyDelete
  2. Karibu Sana kadimu kabangu uje usaidiane na Bocco

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic