VIDEO: KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUTANGAZA UBINGWA DHIDI YA YANGA
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes ameweka wazi kwamba mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 3 Uwanja wa Mkapa utakuwa kama fainali kwa kuwa wanahitaji pointi tatu ili kuweza kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21.
Imeisha hiyo
ReplyDelete