VIDEO: MAJIZO KUTOA SAPOTI KWA VIJANA WOTE ILI KUFIKIA MAFANIKIO
MAJIZO bosi wa E Media amesema kuwa yupo pamoja na mfanyakazi wake Oscar Oscar ambaye anawania nafasi ya Urais katika Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Ameweka wazi kwamba ataendelea kutoa sapoti kwa wafanyakazi wote,vijana wote ili waweze kufanikiwa.







0 COMMENTS:
Post a Comment