June 15, 2021

1 COMMENTS:

  1. Ndugu Bwiru nazungumzo uliyaanza vizuri sana lakini ukaja kupotosha baadae. Umeielezea Sinba kuwa ni timu ya kawaida na matokeo mazuri ambayo Sinba ilikuwa kwa bahati tu. Manaake unakusudia miaka mine ya ubingwa na kuzifunga tinu zenye historia ya ubingwa wa Africa na kutokana na uwezo wa kuzipatia fursa timu nyengine Tatu za nyumbani kushiriki mashindano hayo, yote hayo yamekuja kwa sadifa tu. Kuna watu wana macho lakini hawataki kuyaonea. Ni Sinba tu katika ukanda wa Africa ya mashariki ndio pekee iliyofika walipofika lakini umefumba macho hutaki kuyaona hayo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic