MTANGAZAJI wa Bongo, Millard Ayo ameweka wazi kwamba hajawahi kuzoea kuletewa taarifa za kifo licha ya kwamba ni kitu ambacho wameumbiwa wanadamu.
Amesema pia yeye na Fredwaa walikuwa ni marafiki na walikuwa wanawasiliana mara kwa mara na kuondoka kwake kumemfanya ashindwe kuamini kwa muda jambo ambalo limemuumiza.
0 COMMENTS:
Post a Comment