VIDEO: NAHODHA MORRIS ASEMA SABABU YA KUPOTEZA, ADAI FAULO ILIANIZA NDANI YA BOX
NAHODHA wa Azam FC Agrey Morris amesema kuwa walipoteza mchezo wao kwa makosa lakini faulo ilifanyiwa nje mwisho wa siku mtu akanzia ndani ya box na likaruhusiwa kuwa goli. Jana Juni 26 ubao wa Uwanja wa Majimaji ulisoma Azam FC 0-1 Simba katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.
Huyu jae ni mwongo, mpira ulitengwa nje ya box. Kama hakuwa makini luwanjani aangalie hata video. Kumbe ndio maana walifungwa hawakuwa makini. Kwanza kuna mtu alistahili red card kwa namna alivyomzonga refa kwa lengo la kumdhuru
ReplyDeleteRefa hakutoa kadi nyekundu kwa kuwa anajua dhambi aliyoifanya
DeleteRefa alikuwa sahihi, lile goli liko sawa kabisa
ReplyDelete