June 7, 2021

SEHEMU ya pili ya mahojiano ya Fredrick Mwakalebela ambaye ni Makamu Mwenyekii wa Yanga kwa sasa amefungiwa kwa muda wa miaka mitano na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kutokana na makosa ambayo waliyaeleza kuwa ni pamoja na kutoa shutuma kwa waendeshaji wa mpira, pamoja na ishu ya mkataba wa kiungo wa Simba, Bernard Morrison, Mwakalebela amesema kuwa alikosea anaomba msamaha

 

3 COMMENTS:

  1. Hahahaaa,kumbe ulikosea!! Mbona ulisema mnaonewa

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha tff wanasimamia sheria kutoka caf na fifa,hawajatunga wao sheria,kwa maana mtu akikosea haikosei timu bali anaikosea sheria kwa maana ya fifa,caf na tff,adhabu haitolewi kwa dhamira yakuibeba timu fulani hapana bali kusimamia sheria iliyovunjwa,yanga mnapaswa kua makin sana juu ya hili suala,maana mnaonyesha udhaifu mkubwa mnoo,iweje mtu alikua anajinadi kwamba ameonewa na mpaka rufaa mlitangaza leo hii anaiangukia tff??tunapata mashaka na uongozi wa yanga ila acha tuone muvi likiendelea.

    ReplyDelete
  3. Mimi naona maadamu ameomba msamaha asamehewe, hii njaa mittani si ya kitoto kitoto, aondolewe adhabu yake inatosha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic