June 18, 2021

KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Polisi Tanzania, George Mketo amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho Juni 19 dhidi ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara. 

Mketo amesema kuwa wanawaheshimu wapinzani wao Simba ila watapambana kwa ajili ya kupata matokeo chanya. 

Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa mchezo wa kesho hautakuwa rahisi mbele ya Polisi Tanzania ila watapambana kupata matokeo kwenye mchezo huo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.

 Matola amesema kuwa Clatous Chama na Ibrahim Ajibu naye watakosekana kesho kwa kuwa wana matatizo ya kifamilia.

 

1 COMMENTS:

  1. Simba hatishwi na mikwara, wawaulize ruvu na wengine wanakimbia kimbia

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic