SERIKALI kupitia kwa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imetaja kuwa miongoni mwa sababu ambazo zinafanya timu nyingi kushindwa kupata matokeo mazuri ikiwa ni pamoja na Yanga ni ubovu wa viwanja vya mikoani jambo ambalo linawafanya wapate tabu.
Kupitia bajeti iliyowasilishwa jana, Juni 10 Nchemba ameomba Serikali iweze kutoa punguzo katika gharama ya nyasi bandia.








Kwani yanga viwanja hivyo vibovu anacheza peke yake?
ReplyDeleteHakusema ni Yanga peke yake "read between lines"
ReplyDeleteJana The. Waziri Mwigulu aliitaja Yanga wala hakugusia timu nyingine yoyote
ReplyDeleteTunazungumzia kilichoandikwa hapo juu na sio kilichosemwa
ReplyDeleteTatizo watu wanasima juujuu tu, point ya msingi viwanja vibovu ndio sababu ya matokeo mabovu.
ReplyDeleteLets focus on reality...
ReplyDeleteAlisema timu pendwa ya yanga, mbona unataka kuleta ubishi wa bure?
ReplyDeleteutopolo akili zao zinafanana
ReplyDelete