June 9, 2021

7 COMMENTS:

  1. Usiseme amemalizana na yanga,bado hajasaini mkataba wowote.Naona kila siku hii taarifa unaandika siku ikitokea hajasaini sijui utasemaje.

    ReplyDelete
  2. Eti imeelezwa, imeelezwa na Nani?? Acheni kutufanya wajinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maana hata yanga nao wana mfumo wa utoaji habar na yanga hawajasema cjochote wandsh mnapamba habar yenu kula mb zetu

      Delete
  3. mchezaji akichezea yanga tu akiondoka kwa kushindwana maslai ujue mpira wake umekufa

    ReplyDelete
  4. Mwandishi mwogope Mungu ,lkn Usimba una kubana huyo Mchezaji amesajiliwa Simba lkn unaiweka Yanga Hili Mo azidi kukupa kazi na Simba yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE UNA USHAHIDI GANI KAMA SIMBA WAMEMSAJILI DJUMA?

      Delete
  5. Hizi zote porojo blog ipate viewers wengi. Hamna lolote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic