VIDEO: WATU 500 KUMPA TUZO YA BET
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul, 'Diamond' anawania tuzo ya BET ambazo ni kubwa kwa Afrika na zinajulikana duniani, mhariri wa magazeti ya Global Publisher kwa upande wa magazeti pendwa, Sifael Paul amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura ni tofauti na kuna watu 500 ambao wanachagua na kinachotakiwa kwa Watanzania ni kutag kwenye mitandao ya kijamii
0 COMMENTS:
Post a Comment