YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi ipo kwenye hesabu za kukamilisha dili la kumpata Farjen Sassi anayekipiga ndani ya kikosi cha Zamalek ambaye ni kiungo na inaelezwa kuwa ni chaguo la Nabi.
Inafika hsdi sasa Yanga kuwanyanganya Zamalek nyota wao. Hii kali na usajili kuendelea nu huenda kesho tukasikia kuna mpango wa kunchukuwa Messi na Ronaldo kwasababu kocha abawahutaji
Imebidi nicheke tuu. Yanga itasajiri wangapi?
ReplyDeleteViwanja vyetu ataviweza???
ReplyDeleteInafika hsdi sasa Yanga kuwanyanganya Zamalek nyota wao. Hii kali na usajili kuendelea nu huenda kesho tukasikia kuna mpango wa kunchukuwa Messi na Ronaldo kwasababu kocha abawahutaji
ReplyDelete