June 18, 2021


OFISA uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa mabao waliyofungwa yametokana na makosa kwenye sehemu ya kipa hivyo wanaamini kwamba benchi la ufundi litafanyia kazi yaliyotokea.

 Pia amewapa pongezi wachezaji wote kwa namna ambavyo walipambana. Ameweka wazi kuwa pointi tatu walizopata ni muhimu na mapambano yanaendelea. Pia ameweka wazi kwamba bado wana malengo ya kutwaa ubingwa kwa kuwa klabu kubwa inafikiria kuhusu ubingwa na mechi zao zinazofuata watapambana.

 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic