July 31, 2021

 


BREAKING: UONGOZI wa Azam FC leo Julai 31 imemtangaza nyota mpya Idrisa Sembombo raia wa Congo ambaye ni mshambuliaji. 


Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex. 


Ameibuka ndani ya Azam FC akitokea Klabu ya El Gouna ya Misri hivyo atakuwepo mpaka 2023.


Pia aliwahi kucheza ndani ya Klabu ya Nkana FC ambayo Mtanzania Hassan Kessy ambaye kwa sasa yupo Mtibwa Sugar aliwahi kuitumikia.

3 COMMENTS:

  1. Azam wameramba dume kweli kweli hapo. Jamaa kifaa kweli kweli. Naona
    Azam mwishowe wameamua kufanya kweli. Naitabiria ubingwa msimu unaokuja.

    ReplyDelete
  2. Saf sana Azam kweli kwa sasa compition itakua kubwa sana naaamini msimu unakoja Kuna uwezekano mkubwa timu tatu Azam,yanga na Simba zitapishana point 1,2 au 3 tuu na tz tunaenda kutikisa msimuujaooo mecho za nje na kubwa za kimataifaaaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic