July 13, 2021

9 COMMENTS:

  1. Matopolo siku hiyo watajifungia ndani kwasababu wakijitokeza watapambana na changamoto. Ni mkuaibika kwakuwa waliahidi ubingwa na makonbe yote. Ni jambo jema kukabidhi ubingwa tarehe 25 ili tarehe 25 liwepo pale uwanjani Matopolo wakishuhudia Mnyama akikabidhiwa makombe mawili

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo tulivyoambiwa kuwa ubingwa tutapewa sisi kwa kuwa timeahinda kesi kumbe tulidanganywa!!

    ReplyDelete
  3. Hilo ni tatizo jengine la viongozi wetu Yanga. Mnstudanganya sana. Nugaz ni juzi tu alisema ubingwa ni wetu. Yaani mnatufedhehesha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kutojua siasa za mpira ni tatizo kwa mashabiki wengi. Mlitaka Nugaz aseme Yanga itashuka daraja au?

      Delete
  4. Ile tarehe ya hukmu ya kesi ya Morrison ni 22/7/2021. kwa hiyo mengine Yanga wanategemea siku hiyo kupata tumaini lolote la kupewa ubingwa endapo itatokea Simba ananyang'anywa point. Ndio maana Bumbuli alisema Yanga atakuwa bingwa alipoulizwa kivipi, akasema aulizwe swali hilo tarehe 23/7/2021

    ReplyDelete
  5. Wadanganyaji na wadanganywaji wanaelewana sana. Hivi wanaamini maneno ya Le grand Utopolo NUGAS kwamba watachukua ubingwa. Wanajitekenya na kujichekesha wenyiewe.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic