July 27, 2021

 


BREAKING: Mshambuliaji wa Simba Chris Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara. 

Ndani ya mwezi Julai, Mugalu aliweza kufunga mabao matano katika mechi tano ilishinda mechi tatu, sare moja na ilipoteza mchezo mmoja.

Aliwashinda wawili alioingia nao fainali ambao ni Charlse Ilanfya wa KMC na Juma Luizio wa Mbeya City. 

4 COMMENTS:

  1. Kifaa Cha kweli. Yanga wangekuwa na Mtu Kama Mugalu tu basi ubingwa wa Simba ungekuwa mashakani msimu huu jamaa anajua.Namtabiria makubwa msimu unaokuja.

    ReplyDelete
  2. Chris Kope Mushimba Mugalu alias The Animal

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic