NASSREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha bora kwa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara.
Kocha huyo ametangazwa baada ya kuwashinda washindani wake ambao aliingia nao hatua ya fainali kwa kufanya vizuri kwenye mechi zake za ligi ambazo zilikuwa ni tatu.
Katika michezo mitatu, Nabi aliongoza kushinda mechi mbili na alikusanya sare moja.
Ametwaa tuzo hiyo baada ya kumshinda Didier Gomes wa Simba pamoja na Mathias Lule wa Mbeya City.
Na hao walioshindwa matokeo yao yakoje au mnaona aibu kuandika
ReplyDeleteAibu ya nini wakati inajulikana Gomes alilala tarehe 03 july kwa mkapa?
DeleteBonge La Kocha wengine wanamwandaa Refa ,na?????!kujipulizia
ReplyDeleteUpupu
DeleteKama kaze vile a.k.a kazelona
DeleteNabi yuko vizuri kweli kweli.. tusubiri wabebwaji wataomba poo
DeleteMapinduzi kapona
ReplyDeleteKwa matibabu yapi mliompa
DeleteKama kaze Bonge la kocha ila wakati wowote nafasi yake itachukuliwa na Mzee Mpili ☹️
ReplyDeleteMimi naona Mzee Mpili anafaa sana kuwa msemaji mkuu wa timu na mganga mkuu kwa vile yeye mwenyewe alitamka anavyo mavitu yaliyopelekea kuishinda Sinba kama alivotabiri hapo mwanzo
ReplyDelete