July 29, 2021

7 COMMENTS:

  1. Jana manara, leo lamine moro, ndio mambo ya mpira hayo, to be hired to be fired.

    ReplyDelete
  2. Inatafutwa nafasi ya mkongo mwingine maana yanga inataka kusajiri timu yote ya taifa ya congo. Natania tuu msinijazie povu

    ReplyDelete
  3. Simba chukua mashine hiyo plz!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulikuwa wapi wakati Simba walipomtimua mapema tu kwenye usaili miaka mitatu iliyopita Yanga wakamsitiri

      Delete
  4. Mikia Lamine kawasaidia muwe mabingwa anahamia kwenu tunajua

    ReplyDelete
  5. Zile droo tunajua chanzo chake .

    ReplyDelete
  6. Lipi jina linalotisha na kuonesha ushujaa baina ya Mikia The Lion na Matopoli wao wenyewe wanasema Mboga iliyolegea. Hahahaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic