July 16, 2021

7 COMMENTS:

  1. Wale wanadanganya watu wao kuwa wanasubiri ushindi wa mezani toka CAS/FIFA salamu ndio hizo

    ReplyDelete
  2. Waendelee kuweweseka na mafanikio ya Mnyama na tukutane mwisho wa reli Kigoma

    ReplyDelete
  3. Naam wanangojea, Simba kupokonywa ubingwa na kupewa wao lakini badala ni chuma cha pokengezi kutokana na juhudi Kubwa za Simba. Kesho watapeleka maombi yao kutimiza ndoto zao za uongo

    ReplyDelete
  4. Kwani hizo salamu za Rais wa FIFA hata Kama Ni za kutunga ,maana huyo ndiyo KARIA anavyoendesha Mpira Kamati zote zinaendeshwa kwa maelekezo yake, Zina uhusiano gani na CAS Rais wa FIFA na Kamati zake Ni vitu tofauti zipo huru na Sina uhakika Kama Kuna hizo pongezi ongelea point nne alizo watafutua Heri Sasi(Refa).

    ReplyDelete
  5. Tuwekee barua yake wewe Ndimbo mwongo bado unaota usemaji Simba Mafiii kwanini CAF haijawapongeza unapotosha

    ReplyDelete
  6. Na hii Ni kutaka kuharisha uovu ,hii Ligi imeanza Ligi zote Duniani hazijaanza leo haijaisha WK ijayo Dernmark wanaanza Ligi msimu ujao wapi FIFA?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic