July 3, 2021


 YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inatarajiwa kumenyana na Simba leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba:-

Farouk Shikalo

Abdalah Shaibu

Adeyum Saleh

Kibwana Shomari

Bakari Mwamnyeto

Kibwana Shomari

Fei Toto

Deus Kaseke

Yacouba Songne

Said Ntibanzokiza

Tuisila Kisinda

Hii ni kwa mujibu wa Championi Jumamosi

6 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Soma kikosi ndo utaelewa vzur msenge wewe

    ReplyDelete
  3. Walete walete Utopolo hao tuwapige nyingi wakavurugane kwao huko

    ReplyDelete
  4. Kibwana Shomari anacheza namba 2 mbona sielewi

    ReplyDelete
  5. Wala hatutok kwa kikosi hiki
    Golia bora angekaa ramso

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic