YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inatarajiwa kumenyana na Simba leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba:-
Farouk Shikalo
Abdalah Shaibu
Adeyum Saleh
Kibwana Shomari
Bakari Mwamnyeto
Kibwana Shomari
Fei Toto
Deus Kaseke
Yacouba Songne
Said Ntibanzokiza
Tuisila Kisinda
Hii ni kwa mujibu wa Championi Jumamosi








This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteAcha matusi boya wewe
ReplyDeleteSoma kikosi ndo utaelewa vzur msenge wewe
ReplyDeleteWalete walete Utopolo hao tuwapige nyingi wakavurugane kwao huko
ReplyDeleteKibwana Shomari anacheza namba 2 mbona sielewi
ReplyDeleteWala hatutok kwa kikosi hiki
ReplyDeleteGolia bora angekaa ramso